katika kunya kinyesi hakitoki ni mjambo tu
Maboga matatu ama vipande vitatu vya Maboga? Kama ni Maboga matatu basi wewe ni kiboko.
Meza dulcolax , zauzwa maduka ya dawa ...
Ushaambiwa muuza duka la dawa kenda kanisan,mpen another alternative.
But hajawa wazi,kwa hali ya kawaida kwa binadam kula maboga matatu na lita ya maziwa mgando ni jambo la kustaajabisha NA kuvimbiwa ni habari nyingine ambayo ni lazima ikukute