hili ndo lilikuwa wazo langu la kwanza kwamba nimruke kuwa sio mimi... ila nimekosea asubuhi wakati wa kuoga nilimwomba tuongee kidogo akakataa kabisa sasa hicho hakiwezi kunibana mkuu..!!!wacha upuuzi..... kwani alikukamata,,, au kuna alama umeacha......komaaa sio wewe......kesi ndogo sana hii...kwani umeiba??komaaa,,,, halafu wacha uasherati ....oa kama unataka mbunye binafsi.......
niliwaza pia nimwambie ukweli ila binti kakataa kasema ukisema hivyo tu atajua ndo tabia yetu kufanya chumbani kwake.. hivyo binti anasema nisiseme hivyo kwanza nitamtambulisha msala ukiisha..!!!Kwani we hauna gheto? We mjuze shangazi tu ataelewa ye mwenyewe alikuwa mnjunjoni.
na kweli yaan nikianza na moja natakiwa nimalize nayo.. ahsante kwa ushauri mkuu mwanzo nilipanga kumruka sababu hakuna mwingine aliyeniona... hiyo imekaaje..!!!
ila we jamaa una matani sana hv kama ikiwa tofauti na nitakavyotarajia... si ndo nitawasha moto mwingine...!!!Acha uoga ukiona vp Unachovea Na ya Shangazi naona kaingiawa na Wivu hizo biti anakupiga ili akikuuita Gest umsuuze bila wasi wasi hizi nafasi hizi[emoji1435][emoji1435]
komaaaaa kaka...sio wewe....kwani amekufumania???piga msuba kama unaweza.....hili ndo lilikuwa wazo langu la kwanza kwamba nimruke kuwa sio mimi... ila nimekosea asubuhi wakati wa kuoga nilimwomba tuongee kidogo akakataa kabisa sasa hicho hakiwezi kunibana mkuu..!!!
kukubali kosa sio ishu ila ishu kukubali kosa mbele ya uma kuwa nimeingia gheto kwake kimya kimya na atauliza nilienda kufanya nini usiku ule unafikiri nitajibu nini hapo..!!!Akili za kuambiwa changanya na zako mkuu.
Tatizo la kumruka wakati yeye amekuona mtaendelea kuwa tofauti kubwa kati yenu na yeye atakasirika sana kwa wewe kumdhalilisha kwamba anauambia uma uongo.
Ila ukikubali na kukiri kosa wewe na yeye hamtakuwa na tofauti kivile.
Kama nilivyokwambia: Akili za kuambiwa changanya na zako.
Mmmnh basi hakutakii mema alaf kugegedana mbona kitu cha kawaida sana kwa maisha ya sasa mwambie aache uoga besides hata akikutambulisha baada ya msala ndo shangazi hatojua kwamba unamnjunja maghetoni kwake?niliwaza pia nimwambie ukweli ila binti kakataa kasema ukisema hivyo tu atajua ndo tabia yetu kufanya chumbani kwake.. hivyo binti anasema nisiseme hivyo kwanza nitamtambulisha msala ukiisha..!!!
bahati mbaya wapangaji ni sisi wawili tu mkuu... hapo waliobaki ni mwenye nyumba tu ambaye ni mtu mzima na mchungaji kiasi kwamba kumgusia hilo ni kasheshe...!!!!kuna umbali gan kutoka chumba chako na cha shangazi?
vyumba vya upande wa shangazi hkn mwanaume mwenzio unaefaamiana nae ambae unaweza kumtumia km njia ya utetezi ya ww kuwrong room baada ya kulewa?
Ndio waambie umeijaribu na imekutokea puanitatizo nyumba nzima wanafahamu mimi sio mtumiaji wa pombe mkuu.
ni sawa ila sidhani kama itapokelewa kirahisi... sasa kilichonifanya nikimbie nini hapo ndo nitabanwa... natakiwa kukabiliana kila swali nitakaloulizwa mkuu..!!!Ulikosea chumba. Ilikuwa giza, ulikuwa na mawazo, uchovu, kichwa kinauma, usingizi - ukakosea chumba.
hapo kazi unayo mkuu, sina neno la zaidbahati mbaya wapangaji ni sisi wawili tu mkuu... hapo waliobaki ni mwenye nyumba tu ambaye ni mtu mzima na mchungaji kiasi kwamba kumgusia hilo ni kasheshe...!!!!
Haina haja ya kupokelewa. Cha msingi ni usijing'ate na usibabaike. Hakuna ushahidi ambao utatakiwa uukanushe, kinachotakiwa ni maelezo yako ya uliingiaje huko chumbanini sawa ila sidhani kama itapokelewa kirahisi... sasa kilichonifanya nikimbie nini hapo ndo nitabanwa... natakiwa kukabiliana kila swali nitakaloulizwa mkuu..!!!
sawa hilo nakubaliana nalo ila linahitaji umakini sana sababu sijawahi kugusa mkuu na nikijichanganya watanishtukia maana pombe ina vituko vyake vya ukweli...!!!Hapo hauna kisingizio kingine zaidi ya pombe, kuna mwenzako alitaka kubaka akakimbilia kwenye mahindi sema alikua pombe ni hatari.
kukubali kosa sio ishu ila ishu kukubali kosa mbele ya uma kuwa nimeingia gheto kwake kimya kimya na atauliza nilienda kufanya nini usiku ule unafikiri nitajibu nini hapo..!!!
yaan unayosema ni kweli ila usingizi na uchovu pamoja na mawazo kweli inaweza ikakuhamisha kutoka pembe ya korido ya kwanza hadi chumba cha pembe ya korido ya mwisho...!!!!!Haina haja ya kupokelewa. Cha msingi ni usijing'ate na usibabaike. Hakuna ushahidi ambao utatakiwa uukanushe, kinachotakiwa ni maelezo yako ya uliingiaje huko chumbani