Social network sio mahali pa ku-disclose kila personal issue. Sema ungeweza kuliwakilisha swali lako kwa namna ambayo, tusingejua unakwenda kufanyiwa interview wapi, na taasisi gani, na Cheo kipi. lakini ungepata taarifa za kutosha au kuunganisha kupata kile unachokiitaji. Ninasema hivi kwa sababu waajiri/ hr officers ni wanajamii kama tulivyo, nao pia wanakuwepo kwenye social network kama tunavyokuwaga. hivyo kutoa taarifa namna hii, inaweza ku-complicate situation kama wahusika nao wanashare network moja. lakini pamoja na hayo unahitaji kujua vitu general vinavyohusiana na position unayokwenda kuwa interviewed, hili unaweza pia ku-google kwa aina ya position, then utaanza kupata general ideas, unaweza ku-vary search yako kwa kutumia heading tofauti tofauti. pia unaweza ku-google general interview questions,hapa namaanisha hr-related Questions, ambayo mara zote ni generic world wide. plus pitia kwenye website ya taasisi husika, jaribu ku-learn Organiztion: visions, missions, products, etc. Finaly kama inawezekana jaribu kupitia/rewiew your Social network profiles, uangalie kama una affiliations yoyote na vikundi au taasisi nyingine zisizofungamana na taasisi husika( for US embassy wako concerned sana na Political au terrorists affiliations), try to put it more simple and normal, eliminate/delete profile zote zisizo za kistaarabu. then be confident,strong and talk,(speak what you know confidently,and loud but be honest if you don't know, you don't know)