Shebie Skonge
Member
- Jul 10, 2015
- 7
- 0
Habari wanajamii Leo nimepigiwa simu ya kuitwa kwenye usaili wa nafasi ya Mail room pale US embassy hivyo naomba mwenye ushauri au uelewa wa maswali yanayoulizwa anijuze tafadhali
AcHa ujinga kijana US embassy wako strategic sana kwenye mambo yanayoHusu ajira!!. usifikiri kuna desa linaloweza kukutoa kama Hauko fit by nature. Halafu Hii style yako ya kuomba msaada kwenye mitandao namna Hii tayari imesHakutoa kwenye usaili, Hao jamaa ni wataalamu sana wa kucHeza na mitandao...na kufuatilia issues/watu sio kam tz.

Ndugu yangu wewe jiamini..
Ukiuluzwa swali unalijua jaribu kutoa maelezo ya kutosha juu ya unachofahamu, kama swali hulijui sema sijui usipigepige chenga.
Vaa ki heshima au vazi LA kiofisi (unaelewa nafikiri)
Kikubwa toa uoga..
Kuhusu maswali sijui hata moja ila pitia juu ya majukumu ya hio nafasi. Ukipata ka muda pitia tovuti ya huo ubalozi jua mwaka ambao ubalozi umeanzishwa na kwa malengo gani.
Ukiogelea juu ya haya Nina imani utajiweka kwenye nafasi nzuri.
Kama kuna mwingine aongezee..
Asante.
La kuongezea tu mdau sheby usisahau kupiga mswaki vizuri na kusafisha kucha zako!!!1 kila la kheri kakaNdugu yangu wewe jiamini..
Ukiuluzwa swali unalijua jaribu kutoa maelezo ya kutosha juu ya unachofahamu, kama swali hulijui sema sijui usipigepige chenga.
Vaa ki heshima au vazi LA kiofisi (unaelewa nafikiri)
Kikubwa toa uoga..
Kuhusu maswali sijui hata moja ila pitia juu ya majukumu ya hio nafasi. Ukipata ka muda pitia tovuti ya huo ubalozi jua mwaka ambao ubalozi umeanzishwa na kwa malengo gani.
Ukiogelea juu ya haya Nina imani utajiweka kwenye nafasi nzuri.
Kama kuna mwingine aongezee..
Asante.
mkuu umeitwa kwa nafasi ya mail room au mail clerk,sababu nakumbuka hizo za mail room zilikua za siku nyingi na watu wako kazini tayari na interview iliyokua inasubiriwa ni ya mail clerk ambayo nafasi zake zilitangazwa mwezi uliopita?
mdau hebu tujuze umeitwa nafas gaan na lini unafanya