Msaada:nimeitwa kwenye aptitude test

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
980
Reaction score
280
Wakuu,,,ni mara ya kwanza kuitwa kwenye interview,nmeambiwa ni aptitude!,,nini maana yake?,nliomba storeman position,nijiandae kwa lipi?,,naomba ushauri hapa
 
Interview ya kuandika. Mara nyingi maswali hua ni general understanding na sio professional. Ila kujiweka nafasi nzuri zaidi jiweke sawa kwenye mambo yanayohusu hiyo position na tafuta habari za hiyo taasisi ili uijue vizuri na uwe na nafasi nzuri ya kujibu maswali yanayoihusu.
 
Aptitude test ni mtian wa ku kupima skills,huwa ni written... Ni govt au private?
 
Asantee,,ni gvt positon ya Stores Assistant wakuu,,,ushauri mwingine tafadhali
 
Kama ni gvt soma kila kitu kuhus field yako sijui ma pr,lpo,grn,gin etc unajua mwenyw
 
Yeah. Huo ni mchujo wa kwanza baada ya hapo mtaitwa tena.

Damn u r lucky. Nisha apply hiyo nafasi ila patupu. Maisha yanaendelea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…