Msaada nimeibiwa smartphone ya tecno

Kama ulikuwa na line y voda
Nenda vodashop watakusaidia kuipata
Mimi niliibiwa samsung j3
Nilifanikiwa kuipata
Ghalama 100,000/=
Yaani utaipata kilaini mno
Na mwizi atarudisha ghalama yote


Usikatishwe tamaa na watu wanaobeza ooooh! Tecno

Unaweza ukakuta wanashiriki kwa namna moja ama nyingine kwenye makundi ya wezi wa simu
Hivyo wanaona wakukatishe tamaa wafaidike.

Heri Uzee Kuliko Uzembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…