Aseee wananiotea sana hawa raiaPole sana mkuu,ni mitihani ya maisha tu hio.
Nahisi kama vile nimeibiwa elfu kumi yangu - JamiiForums
analeta masihara na jeshi la polisi uyu, wapoteze mda wao kwa ajili ya tekino kweli !Hata polisi usiende,utapigwa makofi.
Yaani kweli waanze kutafuta tecno!!!![emoji23][emoji23][emoji23].
Analeta zarau uyo
Nenda TCRA watakusaidia
Wabongo kwa mbwembwe!!! Hapo ulipo huenda unalala kwenye makochi ya shemeji! [emoji38][emoji38]Hata polisi usiende,utapigwa makofi.
Yaani kweli waanze kutafuta tecno!!!![emoji23][emoji23][emoji23].
Wabongo kwa mbwembwe!!! Hapo ulipo huenda unalala kwenye makochi ya shemeji! [emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app