Habari zenu Wakuu,
Nilikua mwanafunzi wa chuo kikuu,mwaka wa tatu(2016/2017),kuna kosa nilifanya mwaka wa pili(examination irregularity),imepelekea kudisco chuo,naomba kwa anayefahamu kama inawezekana kuomba chuo tena mwakani?,na kama itawezekana kuomba mkopo tena? Ama utaratibu wa Open university anisaidie au kama kuna mwenye ushauri mwingine.
Nawasilisha,akhsanteni![emoji24] [emoji24] [emoji24]