Ramthods
JF-Expert Member
- Jun 2, 2009
- 515
- 187
Habari wadau wa JF,
Kwa muda wa wiki kadhaa nimekua nikifanya kazi na msanifu majengo anichoree ramani ya nyumba ndogo nayotarajia kuijenga kuanzia mwezi ujao.
Ni nyumba ndogo, yenye vyumba viwili, moja self-contained. Mchoro wake ni mzuri, ingawa sina uhakika kama hawa mafundi wetu wa mtaani wanajua kusoma ramani za kitaalam kama hizi.
Nachohitaji:
Nahitaji fundi, [kama unamfahamu naomba unifahamishe] anayeweza kujenga kwa kufuata michoro.
Ila, kabla ya kuanza ujenzi, awe anaweza kufanya makadirio ya vifaa [materials] ili kupata makadirio ya gharama kutokana na mchoro wenyewe.
Nipo Dar.
NB: Napenda kufanya kazi na mtu makini anaependa kazi yake. Asiwe mtu wa kulipua kazi.
Kama utakua na ushauri wowote, pia ntashukuru sana.
Asanteni