MSAADA: Nime restore to default Kingamuzi cha CONTINENTAL.

Halord

JF-Expert Member
May 1, 2016
213
105
MSAADA: Nime restore to default Kingamuzi cha CONTINENTAL. Nilikua na lengo la kusech channels manana zilipotea na kila nikijaribu zinarudi local channels peke yake nikashawishika kurestore hapo ndio nikaharibu kabisa. Nipo kijijini nimekuja kumtembelea bimkubwa na mvua hizi naaza kujutia maamuzi niliyochukua
IMG_20180420_162536.jpg
 
MSAADA: Nime restore to default Kingamuzi cha CONTINENTAL. Nilikua na lengo la kusech channels manana zilipotea na kila nikijaribu zinarudi local channels peke yake nikashawishika kurestore hapo ndio nikaharibu kabisa. Nipo kijijini nimekuja kumtembelea bimkubwa na mvua hizi naaza kujutia maamuzi niliyochukuaView attachment 751101
Nenda Manu
Kisha dish setup
Bonyeza Mara mbili hapo

Nenda satellite
Chagua Amos 5 weka

Shuka chini ya button zako utaona kitufe Cha rangi nyekundu bonyeza

Ingiza frq 11665
Smbl 45000
Pr v
Kisha bonyeza ok
 
Back
Top Bottom