Msaada: Nifanyeje niache uzinzi?

Mwambie mkeo hiyo tabia yako na muhakikiahie unataka kuaicha aongee na hao wanawake zako

Wazo hilo nilikuwa nalo ila sitamwambia mke wangu kwani anaweza kulia na kunifungia masakrament nisishiriki kwenye kichuguu hivyo nitamtumia shemeji yangu ajifanye yeye ni mke wangu na akorome kwenye simu
 
tafuta demu/mke wa mtu halafu ukifumaniwa wakikubaka huku wakikurekodi kisha waje wawaoneshe watoto wako, lazima uache ndugu. fanya hivyo.
 
Change your attitude change your life.hata ukishauriwa weee kama wewe hauko ready kuacha ni kazi buree
Zaid tafta kitu cha kukukeep busy concentrate more on your family development and productive activities.
 

Huyu wala hana nia ya kuacha,,,, anajaribu kuona ataambiwa nini na wanajamvi,,,, kwanza sio sifa hata kidogo,,,angalia muda unaopoteza kukimbizana na hao makahaba wako then tafakari.....unayo mengi ya kufanya ila akili yako umeielekeza kwenye ngono....uamuzi ni wako...hakuna chuo cha masomo ya kuacha uasherati.....
 
We hunishindi mimi kwa uzinzi. Mpaka sasa siikumbiki idadi ya michepuko yangu. Wengine nakuta namba za simu kwenye simu yangu ila siwakumbuki mpaka nikutane nao ndo nawakumbika. Na kushauri tuendeleze kuwachapa tu

Haya unayasema kwa kumaanisha au kujiridhisha tu?
 
Yohana 8:1-11,mwanamke mzinzi alikuwa apigwe mawe hadi afe ila alipofika kwa Yesu,Yesu akamtetea na kumuokoa na kifo,kisha akamwambia "USITENDE DHAMBI TENA" Hata wewe kimbilia kwa Yesu akuokoe na huo mzigo unaokuelemea uitwao "uzinzi" Yesu atakutua na kukupa raha nafsini kwako na utatembea ukiitwa mwanafunzi wa Yesu,mtumishi wa Mungu na jina la uzinzi litatoweka,Mathayo 11:28-29.Injili ni uweza wa Mungu uletao wokovu na wokovu ni Yesu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…