WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,236
nashukuru nitalifanyia kazi mkuuStress hizo..ridhika na unachopata...ukifika home fanya kusahau yote!! jaribu pia kutengeneza mazingira mazuri kabla hamjaanza kugegedana!! Siyo unafika home uko chakari choka mbaya, baada ya menu tayari huyooo unaenda kulala unasubiri mkeo aje uparamie yaishe!!
Haya bwana kila la kherimke wangu wa ndoa mkuu
Dk 20-45 ukiwa umeshamwandaa vizuri dk hizo zote uzitumie nje ndani tu asipo fika mnabidi mkae chini akueleze wapi iko shida..Kitaalamu ukifanya foreplay nzuri kabisa na mwanamke ndani ya dk 13 -15 inatarajiwa afike huku juu na ukiendelea hapo ataendelea kufika kilele cha pili kwa mda mfupi mno hata ndani ya dk 5 tu..dk 15-20 ila sytms huwa european wanakuja fasta dk 5 tu
nashukuru sana nimejifunza kitu mkuuDk 20-45 ukiwa umeshamwandaa vizuri dk hizo zote uzitumie nje ndani tu asipo fika mnabidi mkae chini akueleze wapi iko shida..Kitaalamu ukifanya foreplay nzuri kabisa na mwanamke ndani ya dk 13 -15 inatarajiwa afike huku juu na ukiendelea hapo ataendelea kufika kilele cha pili kwa mda mfupi mno hata ndani ya dk 5 tu..
Dona, karanga mbichi, mihogo mibichi, mboga za majani ambazo zimepikwa kidogo tu, viazi vilivyochemshwa, asali, maziwa, matunda aina zote, punje za mapapai, punje za tikiti maji, punje za machungwa, kitunguu swaumu, korosho e.t.c......pia kunywa maji kwa wingi na fanya mazoezi kwa wingi pia!mfano vyakula gani mkuu
Tutakuchapia sasa wenzioduuh kunyonya chini mkuu bado ngumu kwangu cjui kwanini
nashukuru mkuu nimekupenda bureDona, karanga mbichi, mihogo mibichi, mboga za majani ambazo zimepikwa kidogo tu, viazi vilivyochemshwa, asali, maziwa, matunda aina zote, punje za mapapai, punje za tikiti maji, punje za machungwa, kitunguu swaumu, korosho e.t.c
sawa mkuuTatizo la kutofika kileleni linaweza kuwa linasababishwa na wewe au yeye. If tatizo liko kwako, ina maana unawahi kufika mwisho wa safari haraka zaidi kuliko yeye au haumpi msisimuko wa kutosha kumuwezesha kuvuka tambarare na kufikia kileleni. Sasa cha kufanya kwa kuanzia ni kutumia kinga ambayo itakupunguzia stimu wewe na kukuwezesha kutembea umbali mrefu zaidi haid mwenzako aifke mwisho wa safari...