Kwanza uwe Mwanachama HAI wa CHADEMA
umri kati ya miaka 18-35,hayo ndio masharti ya msingi,ukiwa na hayo nenda kwenye ofisi ya CHADEMA iliyo karibu nawe,utapata msaada au nenda makao makuu Mtaa wa Ufipa Kinondoni
Pia waweza jaza fomu online Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Karibu kwenye jeshi la ukombozi