Ondoa tatizo la kujifanya matawi ya juu wakati wewe ni wa kawaida.
wanaokujia ndio size yako wakati wewe unajidhania ni matawi ya juu unawataka wale ambao wala
hata ujipitishe mara mia wao wanafuata matawi ya juu wenzao.
Ni kazi sana Twiga kuinama kula nyasi za chini wakati kuna miti mirefu yenye majani yasiyo na vumbi.
Mimi nmekuwa nawataka au nkivutiwa na mademu lkn wote niwapendao huwa hawana mda na mimi lkn sasa kuna ambao wala sina interest nao ndio wanaojileta kwangu usinicheke msaada plz
holyland
huu ndio ushauri wa maana zaidi...au sio?Jitahidi kuiga tabia au muonekano wa mademu unaowapenda ili ufanane nao. Inawezekana hufanani na uwapendao
eh shule zimefungwa mkubwa....Shule zishafungwa??
Shule zishafungwa??
Ondoa tatizo la kujifanya matawi ya juu wakati wewe ni wa kawaida.
wanaokujia ndio size yako wakati wewe unajidhania ni matawi ya juu unawataka wale ambao wala
hata ujipitishe mara mia wao wanafuata matawi ya juu wenzao.
Ni kazi sana Twiga kuinama kula nyasi za chini wakati kuna miti mirefu yenye majani yasiyo na vumbi.
Jishushe tu,hao wanao kufua ndio level yako,kuna mda wasio kufuata na wenyewe watajishusha wafanane na wewe kuwa mpole wape muda.
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Shule zishafungwa??
Ondoa tatizo la kujifanya matawi ya juu wakati wewe ni wa kawaida.
wanaokujia ndio size yako wakati wewe unajidhania ni matawi ya juu unawataka wale ambao wala
hata ujipitishe mara mia wao wanafuata matawi ya juu wenzao.
Ni kazi sana Twiga kuinama kula nyasi za chini wakati kuna miti mirefu yenye majani yasiyo na vumbi.
AsanteNimekupenda bure best.
Hatar ya nini tena?Duuuuuj hatar