Wadau, wa mchezo wa basketball naomba kujuzwa ni channel/tv au dishi gani nikifunga nitapata kuangalia NBA live?
Nimekuwa nyuma kidogo before nakumbuka Dstv na Star times walikuwa wana rusha lakini kwa sasa baada ya kurudi home sioni katika channel hizo.