Msaada ndugu zangu

Msaada ndugu zangu

Cracker_tz

Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
9
Reaction score
22
Habarini ndugu zangu. nnaombeni msaada wenu kwa mtu anayejua Ofisi za GSM hapa dar au mfanyakaz wowote wa GSM. kuna dili nafatilia atakaeweza kutoa ushirikiano nipo tayar kumpatia zawadi nono. namba yangu ni 0765964271
 
Nenda Osterbay karibu na Ofisi za Ubalozi wa Kenya kwa mbele kidogo pita kushoto, Ulizia ofisi za iliyokua Home Shopping Centre utaoneshwa wapo ndani mule. Waulize walinzi wa ofisi jirani za mabalozi utaelekezwa moja kwa moja.

Usiku mwema, kila lakheri
 
Back
Top Bottom