Asante fedha sio tatizo na kuna mtu nikimtumia atafanikisha huko london.pole sana ndugu yetu. hauhitaji msaada wa kifedha? halafu jaribu kuwasiliana na ubalozi wa Tanzania.
Huwezi amini nimeongea na British airways wakanihamishia Cargo and would you believe anaehusika hajui itagharimu kiasi gani ?Pole sana Uporoto....Mungu akupe nguvu....waweza uliza kwenye makampuni ya ndege na ubalozi wa Tanzania wanaweza kukupa msaada katika hili.....kwani hakuwa na marafiki? wangewezakufanikisha hili,kama wanahitaji hela unawapa,mwili unaadaliwa wanauweka kwa ndege unaletwa....so sad,pole!
Huwezi amini nimeongea na British airways wakanihamishia Cargo and would you believe anaehusika hajui itagharimu kiasi gani ?
Mtani hujasoma vizuri mzungu kautelekeza mwili kwa coroner uzikwe na nani huko nami nipo Bongo ?Zika huko huko hizo gharama zingine za nini?
wazungu wana roho mbaya sana ,mimi nimeishi sana nchi za europe na sasa hivi naandika kitabu changu na baadi ya nakala nitaiweka hapa JF ,Poleni sana.
Nafikiri ukiwasiliana na ubalozi wa bongo watakusaidia kwa hilo.
Huyo mzungu nae kumtelekeza dada yetu hapa inakuwaje? Roho mbaya haina kabila wala rangi!
Poleni sana mkuu
hili liwe fundisho kwa kinadada zetu wanaowapapatikia wazungu.Poleni sana.
Nafikiri ukiwasiliana na ubalozi wa bongo watakusaidia kwa hilo.
Huyo mzungu nae kumtelekeza dada yetu hapa inakuwaje? Roho mbaya haina kabila wala rangi!
Poleni sana mkuu
Huwezi amini nimeongea na British airways wakanihamishia Cargo and would you believe anaehusika hajui itagharimu kiasi gani ?
umejua kifo kimetokana na nini Uporoto? usije kuta kauawa? manake hawachelewi hawa watu....kuua si ishu kivile!!hili liwe fundisho kwa kinadada zetu wanaowapapatikia wazungu.
dada yangu huwezi jua , inawezekana ni hawa wanaume wa u turn.Nenda kwenye ofisi zao kabisa,za British Airways na Emirates......zaidi nenda ubalozini hapa Tanzania.....watakushauri na kukusaidia Uporoto.
Mumewe huwezi wasiliana nae? what kind of a husband is he ashindwe hata kuwapa ushirikiano kwenye hili jamani??? pls,nenda ubalozi,wape details za mume watamuweka sawa tu na atashirikiana nao kuweza kuutunza na kuusafirisha mwili.....!