boy from toronto
Member
- Jul 3, 2020
- 6
- 2
Kasema magari makubwa siyo ''magali'' makubwa.Mkuu hebu eleza vyema ueleweke & unatafuta kazi ya udereva wa magali makubwa?maana sijakuelewa bado
ndoto yangu ni kua dereva lakn bado sina uzoefu wowote na sio dereva nataka kua tingo kwanzaMkuu hebu eleza vyema ueleweke & unatafuta kazi ya udereva wa magali makubwa?maana sijakuelewa bado
Ahsant mkuu shukran sanaKwa kifupi sana kaz za udereva hupatkan huko mtaan sio humu mara nyingi. Neenda garage yeyote au yard kubwa za semi omba kaz za kusaidia ufundi ...baadae onesha juhud sana na uaminifu anza kujipendekeza kwa madereva ili wakuweke hata kushoto .
Ukiona umeshakuwa konda possibility ya ku master gar n 90% baada.. kwa kifupi kaz za udereva katika makampun n za kujuana coz hata ukiitwa test watataka mdhamin mmoja ndan ya kampun soo ww ndg kama hakuna anayekujua utapataje kaz nenda magetin mule kaa sana azia ufundi saidiz....OVER
Mimi sio dereva lakn ndoto yangu ni kua dereva hivyo natafuta kua msaidzi kwanza wa derevaMkuu hebu eleza vyema ueleweke & unatafuta kazi ya udereva wa magali makubwa?maana sijakuelewa bado
Acha ndoto.... NIT/VETAMimi sio dereva lakn ndoto yangu ni kua dereva hivyo natafuta kua msaidzi kwanza wa dereva
Ni kweli mkuu lakn kule siwezi kupata experience so nikishajua ndio nitaenda kuleAcha ndoto.... NIT/VETA
Ushauri tu kazi hizi huwezi pata maeneo ya mijini kwakuwa wenye uhitaji kama wako ni wengi sema tu hawajapost humu hitaji lako ni rahisi kupata mikoani hasa kwenye makampuni ya ujenzi wa barabara huko kuna magari mengi na madereva huwatumia sana watu kama nyie anapumzika au unapata kinywaji we unaachiwa gari lakini uitegemee malipo kwa haraka na kipindi hiki ndo kipindi cha miradi hiyo.kila la kheri nduguMimi ni kijana wa kitanzania natafuta kazi au connection kuweza kupata kazi za magari hasa makubwa ya masafa marefu naipenda sana kazi hii ila cjui taanzaje au wapi tafanikisha ndoto yangu.
Hivyo kwa yeyote anaefaham au anawza kunisaidia au ushauri namba yangu ni 0688433945.
Natanguliza shukrani.
Ahsant mkuuUshauri tu kazi hizi huwezi pata maeneo ya mijini kwakuwa wenye uhitaji kama wako ni wengi sema tu hawajapost humu hitaji lako ni rahisi kupata mikoani hasa kwenye makampuni ya ujenzi wa barabara huko kuna magari mengi na madereva huwatumia sana watu kama nyie anapumzika au unapata kinywaji we unaachiwa gari lakini uitegemee malipo kwa haraka na kipindi hiki ndo kipindi cha miradi hiyo.kila la kheri ndugu