Msaada ndugu NAPATA WAZIMU

alafu baada ya kuikagua iweje?? Uwiiiiii watu wengine bwanah!
 
kweli kila mtu ni kichaa ila mwezetu kichaa chako ni nouma
 

Tatizo ni kushika simu tu au una lingine? Sina hakika kama upendo wa mtu unapimwa kwa kuangalia logs za kwenye simu!!!
Anakupenda? Anakupigia simu? Anakuletea zawadi? Mnatoka naye out? Mnashirkishana na kusaidia nyakati za matatizo? Anajali matatizo yako? Anatoka nje ya mahusiano yenu?
 
Wewe ni mwanamke au mwanaume? kama ni mwanamke utakuwa una kiranga na hakikutoki mpaka utolewe ngeu kama wale wa kule musoma ndio ujue unapendwa
 
Unalalamika hapa kwa sababu huna nyumba ndogo/hawara......

ungekuwa una nyumba ndogo halafu mpenzi wako ni anashika sim yako

tungekuwa tunajadili mengine sa hivi............
 
Unalalamika hapa kwa sababu huna nyumba ndogo/hawara......

ungekuwa una nyumba ndogo halafu mpenzi wako ni anashika sim yako

tungekuwa tunajadili mengine sa hivi............

hapana dear hebu piga picha ni wewe utafeel vp? mi nahic hanijali kabisa
 

hahaha! umenifungia siku yangu kwa kicheko!
 
kwanini watu wengi ikifika issue ya kushikiana cm huwa mnachanganyikiwa!!!!?kama huna mambo mengi kinachokuogopesha kwa mpenzi wako kushika cm yako ni kitu gani??nilishaacha hiyo tabia ya kusema sishiki..kama tunashare everthing&especially our bodies why not phones??as long as i live nitashika mpaka basi!!!nilipata pigo moja nikajifunza...
 

uko right mkuu
 
Kwahiyo wewe ulitaka achukie ama?
 

Hahahaaaa, muache uone kama atalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…