hahahahaahahahaha huyu jalala lake la mto msimbazi nimekumisije wewe hujambo lakini!!Kila jalala na vichaa wake....
yaani hiyo ndiyo sababu ya wewe kupata wazimu!!!! mimi nilidhani labda mapepo yanakusumbua unahitaji msaada wa maombi, kumbe unayatafuta mapepo yalikolala!! aisee wewe una matatizo makubwa sana, na sijakuelewa kwa kweli maana yako hasa ni nini