brave Mwafrika JF-Expert Member Joined May 2, 2019 Posts 248 Reaction score 143 Sep 24, 2024 Thread starter #21 Kalaga Baho Nongwa said: Msaada wangu kaka umeishia hapo. Sina kipya mzee wangu Click to expand... #asante sana
Kalaga Baho Nongwa said: Msaada wangu kaka umeishia hapo. Sina kipya mzee wangu Click to expand... #asante sana
brave Mwafrika JF-Expert Member Joined May 2, 2019 Posts 248 Reaction score 143 Sep 24, 2024 Thread starter #22 kyagata said: Sasa kama ticket ya bus umeshindwa kukata,ya ndege utaweza kweli? Click to expand... #hakuna aliye zaliwa anajua
kyagata said: Sasa kama ticket ya bus umeshindwa kukata,ya ndege utaweza kweli? Click to expand... #hakuna aliye zaliwa anajua
brave Mwafrika JF-Expert Member Joined May 2, 2019 Posts 248 Reaction score 143 Sep 24, 2024 Thread starter #23 Maghayo said: JAPANESE UNCENSORED Click to expand... #sijaelewa apa
brave Mwafrika JF-Expert Member Joined May 2, 2019 Posts 248 Reaction score 143 Sep 24, 2024 Thread starter #24 Mshana Jr said: Ingia google Andika jina la bus husika Angalia huduma utakayo Chagua kukata ticket Usalama ni asilimia 100 Mfano wa BM coach BM Coach — Usafiri wa mabasi kati ya miji Tanzania tangu 1996 BM Coach inaendesha mabasi zaidi ya 100 katika njia za Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Moshi, Arusha na Turiani. Weka nafasi ya kiti katika mojawapo ya vituo vyetu 11. www.bmcoach.co.tz Click to expand... #asante ngoja nijaribu tena
Mshana Jr said: Ingia google Andika jina la bus husika Angalia huduma utakayo Chagua kukata ticket Usalama ni asilimia 100 Mfano wa BM coach BM Coach — Usafiri wa mabasi kati ya miji Tanzania tangu 1996 BM Coach inaendesha mabasi zaidi ya 100 katika njia za Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Moshi, Arusha na Turiani. Weka nafasi ya kiti katika mojawapo ya vituo vyetu 11. www.bmcoach.co.tz Click to expand... #asante ngoja nijaribu tena
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,353 Reaction score 62,395 Sep 24, 2024 #25 brave Mwafrika said: #nimejaribu kuangalia tiketi kwenye ottap lakini sijaona gari yenye bei 70000 au chini ya apo. Nawezaje kupata Click to expand... Elfu 70 Dar-mwanza labda uende kwa mguu hadi dodoma ukifika hapo ndo ukate ticket kwa bei hiyo
brave Mwafrika said: #nimejaribu kuangalia tiketi kwenye ottap lakini sijaona gari yenye bei 70000 au chini ya apo. Nawezaje kupata Click to expand... Elfu 70 Dar-mwanza labda uende kwa mguu hadi dodoma ukifika hapo ndo ukate ticket kwa bei hiyo
brave Mwafrika JF-Expert Member Joined May 2, 2019 Posts 248 Reaction score 143 Sep 24, 2024 Thread starter #26 #hahahhah... Huu utani wa ngumi kabisa.. kwa mguu Lucha said: Elfu 70 Dar-mwanza labda uende kwa mguu hadi dodoma ukifika hapo ndo ukate ticket kwa bei hiyo Click to expand...
#hahahhah... Huu utani wa ngumi kabisa.. kwa mguu Lucha said: Elfu 70 Dar-mwanza labda uende kwa mguu hadi dodoma ukifika hapo ndo ukate ticket kwa bei hiyo Click to expand...
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,570 Feb 3, 2025 #27 CCM oyee
P photi17 Member Joined Sep 29, 2023 Posts 37 Reaction score 59 Feb 3, 2025 #28 Kuna App inaitwa busbora hipo praystore nishatumia Mara mbili