Msaada: Naweza kupata chuo kwa matokeo haya ya mwaka 2014?

Msaada: Naweza kupata chuo kwa matokeo haya ya mwaka 2014?

Moussa

Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
5
Reaction score
2
Nlifanya mtihani wa 4m 6 mwaka 2014 na matokeo yangu yalikuwa Geography C, Economics C, Mathematics E. Niliwekewa division 4 bila points (hapo nilifeli Math ndo maana nikapata 4).

Je naweza kupata chuo nikasoma degree?

Msaada wenu wakuu
 
Mwaka huo kulikuw na b+ na b- na chuo ckuomba
 
Back
Top Bottom