ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,850
Umevurugwa ww huko uendako fursa ni chachemkuu mimi nawaza kwenda sychellies au mauritius ni kila ulaia wa mauritius nadondoka monaco kama naenda zenji... na monaco to ufaransa ni kugusa hivyo... nategemea kutafuta uraia tofauti na huu... maana hapa kwetu... tia maji tia maji hali si shwari... tuna umizana kwa makusudi nchi yetu sote lakini wengine wanatutumia kama matambala ya deki,,,, wana tuona kama wajinga .... ina kera sana....
tuta rudi kama wawekezaji.... wakina payet, nani na wengine wametokea tulipo wameenda walipo... na sisi tusonge mbele ndio maendeleo tusibaki hapa hapa na kulia lia tu wakati fursa si lazima hapa nchini tu
Duu namimi na fikilia kwenda uko ila galama no kubwa kwa sababu akuendeki na Basi ebu nipe maujanjamkuu mimi nawaza kwenda sychellies au mauritius ni kila ulaia wa mauritius nadondoka monaco kama naenda zenji... na monaco to ufaransa ni kugusa hivyo... nategemea kutafuta uraia tofauti na huu... maana hapa kwetu... tia maji tia maji hali si shwari... tuna umizana kwa makusudi nchi yetu sote lakini wengine wanatutumia kama matambala ya deki,,,, wana tuona kama wajinga .... ina kera sana....
tuta rudi kama wawekezaji.... wakina payet, nani na wengine wametokea tulipo wameenda walipo... na sisi tusonge mbele ndio maendeleo tusibaki hapa hapa na kulia lia tu wakati fursa si lazima hapa nchini tu
UKIWA NA HELA YA BANDO UKIFIKA KWANI USITEGEMEE KUFANIKIWA TU HUKO!!asante sn mkuu nategemea january kuanza safari nitaleta mrejesho
Mzee wa busara nakukubaligi hapo tu yaaniUkiondokana na fikra hizi.....utapiga hatua kubwa sana kwenye maisha yako zaidi ya hata hapo ulipo
Nguvu kubwa ,muda na akili unavyotumia kwenye siasa ungevielekeza kwenye maisha yako ungekuwa umefanya maamuzi yenye busara Na manufaa sana
NB:
SI KWA UBAYA.....
nazungumzia namna ya kuingia ili uweze kwenda sehemu ingine kwa urahisi zaidi... na nikatolea mfano kwa kisiwa kama maritius kuwa ukipata pass yao una weza kwenda monaco kama unaenda tz kwenda zenji.... na baada ya mwaka waweza pata uraia wa marit ambao utakuwezesha kwenda ktk baadhi ya nchi zingine kwa urahis....Umevurugwa ww huko uendako fursa ni chache
ukilinganisha na tz, tunazungumza kwa uzoefu
nafikiri challenge kubwa iliyopo kwa vijana wa tz
ni mitaji.
Yaani maelezo yako yamekaa kama unaenda kupigwa ndugu yangu,hii hadithi imekaa kitapelitapeli....nakutangulia pole zangu maana unajipeleka kwenye utapeli.....nilimpata rafiki toka zimbabwe ana niambia amesajiri kampuni kwa ajiri ya utalii ila ana taka kuanza na kusafirisha watalii toka airport, hotel nk... na anasema kinacho mshinda kwa sasa ni basi tu kwa kuwa lesseni na work permit anazo... ktk yote ana tafta mtu wa kuweza kuungana nae ili wanunue basi kwa ajiri hiyo...
Kila la kheri Mkuu. Maisha popote, hali yetu ya sasa ni tia majiasante sn mkuu nategemea january kuanza safari nitaleta mrejesho
ina wezekana mkuu... lakini tatzo wengine huwa hatuogopi kufanya maamuzi ktk yale tunayo yaamini hata kama utateka watu wa muhimu ktk maisha yangu/yetu... huwa tuna amini ktk mimi na sio wewe yule au wale... ila tuna watumia wao, wale yule ninyi nk kama njia ya kujaza ubongo kuweza kuelewa mambo mengi yanayo endelea kwa undani or kwa kina...Yaani maelezo yako yamekaa kama unaenda kupigwa ndugu yangu,hii hadithi imekaa kitapelitapeli....nakutangulia pole zangu maana unajipeleka kwenye utapeli
Cha muhimu ni kuwa makini tu, ila kiukweli wazimbabwe n kuwa makini nao japo sio wote..ila umakini unahitajika sana.Yaani maelezo yako yamekaa kama unaenda kupigwa ndugu yangu,hii hadithi imekaa kitapelitapeli....nakutangulia pole zangu maana unajipeleka kwenye utapeli
kwahiyo una taka kusema ni wababaishaji kama wabongo?Cha muhimu ni kuwa makini tu, ila kiukweli wazimbabwe n kuwa makini nao japo sio wote..ila umakini unahitajika sana.
Wababaishaj na wakatili...though sio wote...wabongo mbona wakarimukwahiyo una taka kusema ni wababaishaji kama wabongo?
wana reflect tabia ya mugabe ya ukurunzinzaWababaishaj na wakatili...though sio wote...wabongo mbona wakarimu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]wana reflect tabia ya mugabe ya ukurunzinza
wana jifanya wana mpenda mungu hawa kumbe hamna kitu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Na matapeli wote mabingwa hii ndio ngao yao wanajitia ucha mungu mno ukijipindua tu wanatenganisha Expansion joints🙂😀wana jifanya wana mpenda mungu hawa kumbe hamna kitu
We ndo walewale unawaza siasa tu badilikaHali imekuwa mbaya mpaka tunafikiria kuwa wazamiaji ili tutoke kimaisha. ASANTE TANZANIA YA AWAMU YA MSEMA KWELI.