Jaribu kuachana navyo visikupe tabu.Yawezekana maana nikila nyama ya mbuzi na kitimoto napata homa kali..na vidonda mdomoni na kooni
Acha kukuna,yawezekana mkuno ndo umeongeza tatizo pia kunywa maji mengi ikiwezekana piga hata lita nne kwa leo na keshoNimeacha wala sili tena ila bado nawashwa, yani hapa nipo job ila nawashwa..mpaka mwenzangu kaniambia nimevimba uso
Basi acha kukuna hata mimi hapa nina vipele balaa na vinawasha nikikuna hapa shingo lazima liumukeNipo Dar..joto ni kali sana
Jaribu Castor oil inasaidia ukiwa na allergy kwani hakuna dawa mbadala bali kuacha.Nimeacha wala sili tena ila bado nawashwa, yani hapa nipo job ila nawashwa..mpaka mwenzangu kaniambia nimevimba uso
usiogope kawaida,ila mbuzi na kiti moto kama vina kudhuru pia acha,ila naw anza kupiga maji ya kutosha yaani umfunuke hadi Ray,asubuhi utaamka poa tuuSawa, asante sana