Mchumia Rungu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 1,439
- 826
nitakusaidia kadri ya uwezo wangu, jitahidi kufanya mazoezi ya viungo kila siku, kunywa maji mengi, pata muda mzuri wa kupumzika, kula chakula halisi kwa wingi, ugali wa dona, usipendelee vitu vya mafuta, jitahidi kutokuwa na stress, na kuwa na chemistry na hiyo kitu na hasa ujiandae kiakili kabla ya kufanya hyo mambo (uwe na muda mwingi wa maandalizi), jitahidi katika milo yako usikose pilipili na tangawizi kwa wingi, kwa maelezo zaidi ni pm kaka
pole yako kwakifupi huna nguvu zakiume ni tatizo hilo itafikia stage hata wiki mwezi huna hamu wala hufanyi na ukitaka kuduu unakua unalazimishwa, nipm upesi nikupatie dawa ili uepukane na hiyo adha
Dah kwa bahat mbaya nimeokoka mkuu situmii kilev chochote
Utakuwa mlokole feki umeshindwa kukemea
Dah kwa bahat mbaya nimeokoka mkuu situmii kilev chochote
ntumie number ya mpnz wako nimfundishe kitu
Umeokoka na uzinzi unafanya???bila shaka ww ni mlokole fek na ndio maana ukajiita playboymwema....
Dah hadi nionane na waganga wa kienyeji ina maana hakuna tiba kwenye hospital za kawaida?
Dah kwa bahat mbaya nimeokoka mkuu situmii kilev chochote
Na kama ameokoka kwaninia asifuate solution kwa yesu kristo kaja humu..Kama umeokoka acha uzinzi oa! We unadhani kuvuta bangi ndo utachafua ulokole wako lakini uzinzi ni halali katika maisha ya wokovu wako?
Hivi ni nani aliwaambia kuwa Formula ni zaidi ya goli moja!!!!! Hii kitu haina kanuni maalum cha msingi nikuheshimu hisia na afya ya mwili wako. Ndio maana iko siku utakwenda 2 au 3 na wakati mwingine 1 tu. Usipende sana au kuona fahari kufunga magoli mengi kwakulazimisha hata kama mwili hautaki. UNAJIKOMOA BILA WEWE KUJUA na ukifikisha miaka 50... ndio utajua faida na hasara za kuwa fahari la mbegu ulipokuwa kijana. Waafrika wengi tuna kasumba hii tukidhani ndio urijali kumbe tunajimaliza sana bila kujua. Miaka ya 80 vijana wengi tulikuwa tunaona fahari sana kumaliza konyagi chupa 2... au Bia 15... ndio unaonekana kijana wa shoka. Ila wengi walipata athari za INI at the age of 40s....
punguza umala hlo nitatzo moja wapo,nasema hvyo kwakua maelezo yako yanaonyesha haupo nampenzi mmoja hl nitatzo moja wapo.
pole yako kwakifupi huna nguvu zakiume ni tatizo hilo itafikia stage hata wiki mwezi huna hamu wala hufanyi na ukitaka kuduu unakua unalazimishwa, nipm upesi nikupatie dawa ili uepukane na hiyo adha
khaaaa tenaaaBaada ya matumiz ya dawa utakayompa sharti aje atoe mrejesho kwako kama kweli imemsaidia,andaa papuchi kwa majarbio mheshimiwa Dokta
Dah kwa bahat mbaya nimeokoka mkuu situmii kilev chochote