Msaada nautafuta uzi siupati.???

Chabrosy

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
2,648
Reaction score
3,186
Habari wakuu,

Kuna uzi unahusu jamaa alipata changamoti ya uti wa mgongo alisoma Chuo cha Mwika akapata accident akiwa chuo uko Mwika moshi ndo ikawa mazima changamoto ya uti wa mgongo naitafuta sana uwo uzi msaada...
 
Sio huu ule ni story ya maisha ya jamaa anaelezea safari ya maisha yake mpaka kupata ajari akiwa anatokea chuo siku ya ijumaa akiwa anaenda Arusha mjini alipanda gari aina ya pick iliendeshwa na mwanafunzi mwezie mlevi alikuwa nautafuta uwo uzi jina limenitoka ni mrefu sana...
 
Ata jukwaa unakumbuka ulikua jukwaa gani?
 
Kwenye huo Uzi wewe ulicomment/ulichangia chochote?
 
Hii story niliiona humu na YouTube ipo kuna mtu alimuhoji hadi maisha yake ya sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…