Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,889
Habari za siku
Natafakari kuanzisha biashara baada ya kujiassess vya kutosha nikapewa wazo la kununua jiko la gasi la Nikai.
kama unajua na kulifahamu lipoje. Je moto wa gasi la Nikai upoje maana kuna jiko fulani lilikuwa linaitwa Balajj nilikuwa nalo sasa lina matatizo
msaada wenu tafadhali
Fika ofisini kwetu Kariakoo msimbazi Azania benki ujichagulie majiko yenye ubora
Wahi kanunue ni zuri tu.Asante Amani mfaume
mimi sipo dar na wala sijawahi kukanyaga dar. nipo huku Ngudu, najua hupafahamu.
vip Nikai lina moto mkali wa bluu maana naanza biashara za kukaanga
Nilinunua nikai mwaka 2007 linakaa hadi 2016.miaka 9.Habari za siku
Natafakari kuanzisha biashara baada ya kujiassess vya kutosha nikapewa wazo la kununua jiko la gasi la Nikai.
kama unajua na kulifahamu lipoje. Je moto wa gasi la Nikai upoje maana kuna jiko fulani lilikuwa linaitwa Balajj nilikuwa nalo sasa lina matatizo
msaada wenu tafadhali
Ngudu kumbe nisehem kuna Dada ana lodge maeneo ya azam chamanz kule alikua mteja wangu wa fen alipo fungus lodge OK sahv kampuni zipo nyingi zilizo ingia kwenye soko la ushindan we ukisema nikai nzuri mwenzako atakwambia kuna okoa mazingira nzuri Mara pine tech mara moelectrico kuna kiptech na nyingine zote n nzuri kwa alie wahi kutumia mm naona kiptech ni nzuriAsante Amani mfaume
mimi sipo dar na wala sijawahi kukanyaga dar. nipo huku Ngudu, najua hupafahamu.
vip Nikai lina moto mkali wa bluu maana naanza biashara za kukaanga
Nilinunua nikai mwaka 2007 linakaa hadi 2016.miaka 9.
Nakushauri kununua nikai.
Nilinunua nikai mwaka 2007 linakaa hadi 2016.miaka 9.
Nakushauri kununua nikai.
Ngudu kumbe nisehem kuna Dada ana lodge maeneo ya azam chamanz kule alikua mteja wangu wa fen alipo fungus lodge OK sahv kampuni zipo nyingi zilizo ingia kwenye soko la ushindan we ukisema nikai nzuri mwenzako atakwambia kuna okoa mazingira nzuri Mara pine tech mara moelectrico kuna kiptech na nyingine zote n nzuri kwa alie wahi kutumia mm naona kiptech ni nzuri