1. Jitazame upya shughuli zako, kama zimejaa mikikimikiki basi kutokwa sana jasho ni kitu cha kawaida sana
2. Hauna mafuta na maji mengi ya mwili? Nayo hiyo ni sababu kubwa
3. Kama unatumia hydrating lotion halafu unatumia muda kiasi juani basi kutoka jasho ni kitu cha kawaida tu
4. Magonjwa kama vile kisukari, kifua kikuu huchangia pia. Kachunguze afya yako
Ufumbuzi wake
1. Kama haijatokana na magonjwa basi anza kwa kuoga mara kwa mara, kuanzia mara nne kwa siku sio mbaya
2. Kama shida yako kubwa ni jasho basi tafuta vipodozi vya kupaka au kupulizia makwapani vinavyoitwa ''ANTI-PERSPIRANTS''; Kama na harufu mbaya pia imo basi tumia ''ANTIPERSPIRANT-ANTIDEODORANT''.
3. Nyoa nywele za kwapani kila mara zinapoanza kukua