Naomba msaada wenu nitumie dawa gani natokewa na vinyama kwenye ulimi
Japo kwa pic havionekan vzr
Nmeenda hospital Leo nmeambiwa n vya kawaida huwa vipoKama ni aina hii, ni vitu vya kawaida. Ni maumbile yanayotumika kwenye kuonja vionjo.
View attachment 2104145View attachment 2104146
Kama ni tofauti au vinaleta shida yoyote, fika hospitali kwa uchunguzi zaidi.
Nmeenda hospital Leo nmeambiwa n vya kawaida huwa vipo
[emoji16][emoji16] asanteHongera kwa hatua na relax kazi iendelee.