Msaada: National Housing-Upanga&Posta, Dar

Jaza fomu ya maombi then peleka ofisi za NHC, ikipatikana wakawasiliana na wewe then watakukabidhi ukitimiza vigezo na mashrti

Nashukuru kwa ushauri. Nilifikiri kuna njia ya mkato.
.
.
Code uliyoitumia hapo juu: Kipenyo kazini, kumbe ndo ufafanuzi wake🤔🤔.

Asante
 
Natumae mleta mada umepata muongozo...




Cc: mahondaw
Nimepata muongozo wa kujaza fomu ya maombi..
.
.
Kama unaweza kuni connect moja kwa moja, then tukaenda kujaza hiyo fomu wakati tayari tunajua tuna nyumba, itapendeza.

Kujaza fomu na kuiacha unaweza kuitwa baada ya miaka miwili, kumbe watu wanapeana juu kwa juu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…