Unataka kufanya relational database kwa nini unaachana na MySQL au hata PostgreSQL unaenda kwa proprietary software za microsoft?
Alafu mkuu kama hujui kitu kidogo kama kuandika google "Microsoft SQL setup" au "Installation" alafu ukaclick link ya kwanza tu ukapata kila kitu unastahili hata kutengeneza database kweli? Uvivu ni kitu kibaya, penda kujua kujitafutia itakusaidia sana mbeleni, kwa style hii kila ukishindwa utakua unakuja JF kuuliza hata kufanya select queries.