Msaada: Nataraji kupokea wageni, wapi nitapata hosteli jijini Dar es Salaam?

Mimi sina muda wa story, wewe wa kijiweni endelea na mastory.
Mimi na wewe nani wa kijiweni, nimeshawapeleka wageni Tena watanzania na sikukutana na hizo hadithi zako unazookota mtaani.
Unamkatisha tamaa mtu badala ya kumpa njia mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…