Msaada nataka nibadilishe title kwenye blog yangu

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,054
Reaction score
4,117
kuna jina nilikuwa natumia sasa naona imefika kipindi sivutiwi nalo nataka nibalishe jina la blog linalo display mbele ya msomaji wa blog naomba msaada natumia blogger
 
Ingia kwenye blog yako nenda layout >header>edit halo utabadili hill jina la blog tako
 
kuna jina nilikuwa natumia sasa naona imefika kipindi sivutiwi nalo nataka nibalishe jina la blog linalo display mbele ya msomaji wa blog naomba msaada natumia blogger
ingia katika blogu yako setting>user >change address
 
Back
Top Bottom