My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,283
Nashukuru Kwa msaada mkuuLazma uwe na temporary passport
Wakuu habari.
Nilipoteza passport yangu ya international sasa bado sijapewa nyingine.
Sijawahi kufika Kenya, nataka kwenda kesho nina shida muhimu Sana Nairobi.
Sasa nataka kujua endapo naweza kwenda bila passport Sababu ya ujirani wetu mwema au ni lazima niwe na passport hata ya muda mfupi, nawasilisha wakuu.
Mkuu hakuna kitu kizuri Kama Uhuru, Uhuru ni mambo yote, Kwa nini niende Kwa mashaka? Acha nitafute hiyo temporary passport, nimeambiwa ni elfu 30 tuPitia njia za panya
Unataka kuibiwa punda wewe,, tangu lini hiyo ya kijikaratasi ikawa elfu 30? Mbona hiyo huwa ni elfu 10 tu?Mkuu hakuna kitu kizuri Kama Uhuru, Uhuru ni mambo yote, Kwa nini niende Kwa mashaka? Acha nitafute hiyo temporary passport, nimeambiwa ni elfu 30 tu
Asante binadamu Kwa kunipa taarifa mimi punda kuwa nitaibiwa kumbe ni elfu kumi tu.Unataka kuibiwa punda wewe,, tangu lini hiyo ya kijikaratasi ikawa elfu 30? Mbona hiyo huwa ni elfu 10 tu?
Ha ha ha haaa,, mkuu humu huwa tunataniana lakini sikuwa namaanisha hivyo. Ilikuwa ni namna ya kunogesha baraza tu! Hiyo ya kijikaratasi ambayo huwa ni ya East and central Africa ni Tsh. 10,000= tu.Asante binadamu Kwa kunipa taarifa mimi punda kuwa nitaibiwa kumbe ni elfu kumi tu.
Nenda kachukue mwenyewe Head office ni Tsh 10,000/= tu. Kupenda shortcut ndio maana watanzania tunaibiwa dailyUnataka kuibiwa punda wewe,, tangu lini hiyo ya kijikaratasi ikawa elfu 30? Mbona hiyo huwa ni elfu 10 tu?
Kwa mara ya mwisho nilitenfeneza ya kijikaratasi ya miezi mitatu Tsh 6 elfu na ni baada ya kuipoteza ile ya karatas ya afrika mashariki na kati ambayo ilini cost 17 elfu kua makini kwani kwenye 30 unaongeza ngapi kupata mkoba permanent?Unataka kuibiwa punda wewe,, tangu lini hiyo ya kijikaratasi ikawa elfu 30? Mbona hiyo huwa ni elfu 10 tu?
DUH! HAYA..Mimi nataka kupitua njia ya panya kwa sababu kuu moja, naenda kununu mbegu ya ng'ombe wa maziwa ( mbegu ya kupandikiza kwa njia ya chupa) najua fika nikipitia njia halali huo usumbufu wa wizara ya kilimo na mifugo, mkemia mkuu,....acha nifanye magendo tu maana hakuna namna!
Ilikuwa Mwaka gani huo?Kwa mara ya mwisho nilitenfeneza ya kijikaratasi ya miezi mitatu Tsh 6 elfu na ni baada ya kuipoteza ile ya karatas ya afrika mashariki na kati ambayo ilini cost 17 elfu kua makini kwani kwenye 30 unaongeza ngapi kupata mkoba permanent?
2011 tarehe kama ya leo mkuu tena unajua kilichonisibu kaka? Niulize nikuhadithie kwa undaniIlikuwa Mwaka gani huo?
Miaka 6 imepita mengi yamebadilika siku hizi ni 10000 na hakuna tena zile karatasi za kutolewa pale mpakani, ila ni vyema pia ukiadithia itatusaidia2011 tarehe kama ya leo mkuu tena unajua kilichonisibu kaka? Niulize nikuhadithie kwa undani