Msaada nataka kwenda Auckland New Zealand kutafuta life

KAOROGOMA

JF-Expert Member
Jun 26, 2015
510
756
Wakuu wangu mambo yamekuwa magumu sana nami naamua kuachika,

Mpaka sasa nimesha jenga nina biashara lakin imedorora sana, mpaka nimeifunga,

Nimeamua kwamba sasa hii 5,600,000 niliyonayo niende New Zealand kutafta Maisha ya juu zaid

Nataka nikifika nisake ajira hasa za udaktari

Alafu kila senti ntakayopata natuma nyumbani

Naomba ushauri wenu,

Wa wapi ulipo ubalozi wao,
Pili kama kuna anayejua njia ya shortcut kutoka hapa Tanzania anijuze,
 
Tembelea tovuti ya Immigration to New Zealand na inaeleza jinsi ya kupata migration visa. Kuna Skilled Migration category na Points System, na ukiwa na taaluma ambayo inahitajika kule, pamoja na lugha, umri, mtaji, nk. basi wanatoa migration visa.

Lakini, mkuu kumbuka kule Australia na NZ, kwenye ajira za udaktari itakubidii ukae mitihani za medical boards zao, kabla ya kupewa practising licence. Mtihani hizi ni ngumu, na watu wanafeli mara kwa mara!
 
Wakuu wangu mambo yamekuwa magumu sana nami naamua kuachika,

Mpaka sasa nimesha jenga nina biashara lakin imedorora sana, mpaka nimeifunga,

Nimeamua kwamba sasa hii 5,600,000 niliyonayo niende New Zealand kutafta Maisha ya juu zaid

Nataka nikifika nisake ajira hasa za udaktari

Alafu kila senti ntakayopata natuma nyumbani

Naomba ushauri wenu,

Wa wapi ulipo ubalozi wao,
Pili kama kuna anayejua njia ya shortcut kutoka hapa Tanzania anijuze,
Duh pole Sana, ni ngumu kupata kazi Ya Udaktari huko mkuu, labda vibarua tu Kazi za Udaktari wamezishika Sana Waingereza na Wa Canada, halafu wana wadharaua Sana ma Dr wenye professional za Africa.
Nchi nzuri nakushauri uende Luxembourg,Newzealand iko poa Sana Kama huchagui kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi NZ wametight sana immigration. Wananchi wamekuja juu sana. Ni ngumu sana kuingia NZ hasa kutoka 3rd world countries. Ila kama una dollar za kimarekani laki tano na zaidi watakukaribisha haraka sana tena kwa kukunyenyekea.

Wanamsemo wao sasa hivi WE NEED PEOPLE WE WANT NOT PEOPLE WHO NEED US
 
Wakuu wangu mambo yamekuwa magumu sana nami naamua kuachika,

Mpaka sasa nimesha jenga nina biashara lakin imedorora sana, mpaka nimeifunga,

Nimeamua kwamba sasa hii 5,600,000 niliyonayo niende New Zealand kutafta Maisha ya juu zaid

Nataka nikifika nisake ajira hasa za udaktari

Alafu kila senti ntakayopata natuma nyumbani

Naomba ushauri wenu,

Wa wapi ulipo ubalozi wao,
Pili kama kuna anayejua njia ya shortcut kutoka hapa Tanzania anijuze,
 
Nenda Japan mkuu

Tafuta mwenyej wauza magari wale tradecar view omba wawe wenyeji

Then omba visa ya muda mfupi, ukifika tafta ajira fasta , Japan na Korea Kusin Kujua tu kingereza ajira njenje mkuu. Source uchunguz wangu binafs.

Ukipata ajira muombe muajir wako akuombe work permit na utabadilisha visa ukiwa hukohuko Japan.

Mtu atayefuata mbinu hizi zangu akifika Japan, asinisahau mm nakosa nauli tu mkuu.
 
Hahahaha aisee nimecheka sana hapo mwisho,
Yote tisa Mimi binafsi napenda sana nchi ya Japan, napenda utamaduni wao n.k, pia nasikia wana mfumo mzuri sana wa elimu, Natamani siku moja nifike huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda Japan mkuu

Tafuta mwenyej wauza magari wale tradecar view omba wawe wenyeji

Then omba visa ya muda mfupi, ukifika tafta ajira fasta , Japan na Korea Kusin Kujua tu kingereza ajira njenje mkuu. Source uchunguz wangu binafs.

Ukipata ajira muombe muajir wako akuombe work permit na utabadilisha visa ukiwa hukohuko Japan.

Mtu atayefuata mbinu hizi zangu akifika Japan, asinisahau mm nakosa nauli tu mkuu.
Zilongwa mbali, zitendwa mbali. Ulichosema sio uhalisia.

Ili utumie kiingereza chako Japan, inabidi uwe mwalimu wa English. Na Kama English sio your first language, sidhani kama utapata visa.

Ili ualikwe kule na wenye makampuni ya magari lazima uwe na mkwanja mrefu. Na usisahau hakuna mjapan atakualika ukaishi nyumbani kwake. Vyumba vyao vyenyewe haviwatoshi. Na huwezi ukapangishiwa Nyumba Kama huna kitambulisho cha Manispaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu wangu mambo yamekuwa magumu sana nami naamua kuachika,

Mpaka sasa nimesha jenga nina biashara lakin imedorora sana, mpaka nimeifunga,

Nimeamua kwamba sasa hii 5,600,000 niliyonayo niende New Zealand kutafta Maisha ya juu zaid

Nataka nikifika nisake ajira hasa za udaktari

Alafu kila senti ntakayopata natuma nyumbani

Naomba ushauri wenu,

Wa wapi ulipo ubalozi wao,
Pili kama kuna anayejua njia ya shortcut kutoka hapa Tanzania anijuze,
Kwa macho yangu haya. Nilishashuhudia Dr. Akinywa visa kwenda New Zealand. Kwa macho yangu.

Sheria zao kuhusu afrika nadhani ni Kali mpaka kupitiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zilongwa mbali, zitendwa mbali. Ulichosema sio uhalisia.

Ili utumie kiingereza chako Japan, inabidi uwe mwalimu wa English. Na Kama English sio your first language, sidhani kama utapata visa.

Ili ualikwe kule na wenye makampuni ya magari lazima uwe na mkwanja mrefu. Na usisahau hakuna mjapan atakualika ukaishi nyumbani kwake. Vyumba vyao vyenyewe haviwatoshi. Na huwezi ukapangishiwa Nyumba Kama huna kitambulisho cha Manispaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa nimemsoma anachukulua rahisi
 
Jamaa nimemsoma anachukulua rahisi
Jon Stephano aka Copenhagen. Nilishayapitia hayo maisha. Nilipiga kazi kwenye viwanda vya kutengeneza vitabu kule Japan. Dah! Unapiga mzigo kwenye mashine na ukikosea taa ya kumulimuli inawaka kwako, halafu watu wote wanabaki kukushangaa.

Vibibi vizee, vinapiga kazi mpaka unaona aibu. Halafu anakuja boss mkuu anaanza kuokota makaratasi yaliyodondoka chini. Wajapani bwana. Dah hayo maisha.

Tunakushanya hela kwa bidii halafu tunaenda kushindana na wanaigeria kufukuzia madem. Hahahaha.

Dah mkuu really interesting. Japan ni nchi moja ngumu sana kuingia kwa watu toka africa toka zamani tuu. Ulifanikiwaje kufika huko. Yani japani hata asylum hawachukui.

Bado unaishi huko?
 
Back
Top Bottom