Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
mimi kichwa maji
CORAL mungu akubarikiUnahitaji kutumia BB code ili kupata text za rangi. Mfano unataka neno Blackberry liwe la kijani fanya hivi: [color=green*]Blackberry[/color]. Fanya kila kitu kama ilivyoonyeshwa hapo isipokuwa hiyo nyota(*) haitakiwi. Nimeiweka ili uone kinachofanyika. Nisingeiweka blackberry ingekuwa kijani bila kuonyesha imetokeaje. Kwa mambo mengine kama ku'bold' maandishi, ku 'underline' au kuweka link, fungua hapa. Soma column ya BB code na ya mwisho.
shukrani nyingi 2 kaka vp haya maujanja facebook inawezekanaSio kichwa maji. Kujifunza ndivyo kulivyo. Nakupongeza kwa mafanikio
Sio kichwa maji. Kujifunza ndivyo kulivyo. Nakupongeza kwa mafanikio.