mchawi-mweupe
Member
- Nov 26, 2019
- 34
- 8
Habari ndugu zangu mimi ninaomba msaada,
Kwa yeyote anayejua niko Mwanza nina gari langu nataka liuza lakini sijui nianzie wapi, na nina shida haraka. Kwa yeyote anayejua ni wapi naweza gari yangu bondi au kuuza kabisa kabisa ili nijikomboe anisaidie niko Mwanza.