monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,780
Mkuu hii Voltz inapatikana wapi?Si ununue hyo voltz?
na Bei gani?
Mkuu hii Voltz inapatikana wapi?Si ununue hyo voltz?
Swali zuriAugust,
Kwani uliponunua hiyo gari hawakukupa hata risiti inayoonyesha details zote za gari ikiwemo namba za chasis na injini?