Msaada: Nataka kununua Gari bovu la Serikali

DIFFENDA

Senior Member
Jun 23, 2013
110
38
Habari,

Kuna mnada wanauza gari zilizokufa za serikali namba SM na STG. Ninataka kujua taratibu za kubadili umiliki.

Je, hatua gani za kufuata? Na Je, Kuna ukweli Kuna uwezekano kulipia ushuru kama gari zikiingia bila ya ushuru?

Ahsanteni.
 
Ushauri tafadhali
 
Zipo mkuu ila mpaka uwe na mtu hapo sana sana wanauziana wenyewe kwa wenyewe . Kuna minada inafanyika pale Hifadhi ya Ngorongoro jaribu kuchek nao mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…