K kudikwazu Member Joined Apr 12, 2012 Posts 11 Reaction score 1 Apr 21, 2016 #1 Wakuu nataka kufanya ujasiliamali wa kilimo , ila sina mwenyeji ruvu nataka kuanza na kukodi shamba ili nilime tikiti maji na mboga mboga any idea zitakazosaidia , Contact za mwenyeji yoyote kule asanteni
Wakuu nataka kufanya ujasiliamali wa kilimo , ila sina mwenyeji ruvu nataka kuanza na kukodi shamba ili nilime tikiti maji na mboga mboga any idea zitakazosaidia , Contact za mwenyeji yoyote kule asanteni