Msaada: Nataka kujiunga JKT nikatumie nchi yangu

Mi nataka kujiunga,ili nikaitumikie nchi yangu,nifanyaje Jamani,yaani utaratibu.
Tumikia nchi yako ukiwa hapo hapo ulipo kwa kulima,kufuga,kuwa sungu sungu nk.....sio lazima uende JKT.Vinginevyo useme unatafuta ajira ya kuajiriwa
 
Yaani umeshindwa kulitumikia taifa huku mtaani kwa hiyari unataka ukalitumikie kwa lazima na shuruti juu?
 
Watu wengi wanafikiri kutumikia taifa nikufanya kazi serikalini mfano kuwa mwalimu wa umma,jkt,jwtz n.k kumbe kutumikia taifa ni kuwa mwananchi mchakarikaji wa kufanya shughuli mbalimbali kama kilimo,ufugaji,na shughuli zote halali ndio kutumikia taifa kwasababu utalipa kodi kama sio direct lakini bado utalipa na hizo pesa kwenda kumlipa sizonje,bashite,kununua dawa japo wapigaji wengi....

Subiri katani kwako utapata taarifa za kujiunga kuanzia mwezi huu na may but uwe unafatilia mwenyewe hizo nafai unaweza ukakosa..!!
 
Humu utatapeliwa bure, life is so tough.
Ingia tovuti ya www.jkt.go.tz angalau kila baada ya wiki moja .Watakapotoa nafasi fuata maelekezo utapata.
Au nenda ofisi ya Mshauri wa mgambo wilayani au mkoani kwako atakuambia subiri watangaza ili uombe.
Juzi nilitoa uzi mmoja unaoelezea kujiamini ni njia yako ya mafanikio. Usipojiamini utakuwa unafungua milango ya kuliwa rushwa katika harakati za maisha yako. June mchakato waweza kuanza.
 
Jiamini tuu JKT utaikosa Mimi nimeikosa 2 consecutive years kila Kitu ninacho pamoja na Degree yangu Afya na mwili wangu vipo vizuri kwa sasa ukitaka kwenda at least uwe na Mkuu wa magereza wa wilaya, mkuu wa Polisi wilaya, Usalama wa taifa, Afisa Usalama wa Taifa, Mkuu wa Wilaya/mkoa na Wanajeshi kwa Ujumla hivi hivi utasubiri sana kuna tatizo kubwa la ajira huwezi kuingia kirahisi Kila laheri mkuu.
 
Nilikuwa namweleza huyo kijana aliyeulizia nafasi hizi.
Mimi JKT nimeshapita miaka kadhaa nyuma na sasa niko katika ajira.
Namwambia ajiamini na awe jasiri kwani usipojiamini mtu ni ngumu kufanikiwa either utategemea kushikwa mkono au kutoa pesa.Mimi binafsi siamini katika kushikwa mkono au rushwa. Hivi why vijana wenzangu tunaishi katika nchi yetu kwa kutojiamini?
 
Mi nataka kujiunga,ili nikaitumikie nchi yangu,nifanyaje Jamani,yaani utaratibu.
jkt haipo kwa ajira kaa ukikua jkt inatoa mafunzo ya ww kujitegemea ajira kama ikiwepo ndy maana tangazo linasema kujitolea ndy maana usipo pewa kazi hutakiw kudai ivyo kama kuna kazi ya kufanya ww fanya tuu wenzio tunajuta nipo jkt ktambo mm.ni OP uchaguzi mpala leo hakijaeleweka.ndugu fanya mambo mengine yakusaidie
 
Nilikuwa namweleza huyo kijana aliyeulizia nafasi hizi.
Mimi JKT nimeshapita miaka kadhaa nyuma na sasa niko katika ajira.
Namwambia ajiamini na awe jasiri kwani usipojiamini mtu ni ngumu kufanikiwa either utategemea kushikwa mkono au kutoa pesa.Mimi binafsi siamini katika kushikwa mkono au rushwa. Hivi why vijana wenzangu tunaishi katika nchi yetu kwa kutojiamini?
usimpotoshe mwenzio mwereze dhima ya jkt ni nini aerewe asije kuku laumu bure jkt haipo kwa kuajiri
 
Humu utatapeliwa bure, life is so tough.
Ingia tovuti ya www.jkt.go.tz angalau kila baada ya wiki moja .Watakapotoa nafasi fuata maelekezo utapata.
Au nenda ofisi ya Mshauri wa mgambo wilayani au mkoani kwako atakuambia subiri watangaza ili uombe.
Juzi nilitoa uzi mmoja unaoelezea kujiamini ni njia yako ya mafanikio. Usipojiamini utakuwa unafungua milango ya kuliwa rushwa katika harakati za maisha yako. June mchakato waweza kuanza.
asitegemee maana wa mwaka jana bado hawajamaliza mafunzo labda mwez wa 12 lakini jkt haipo kama azaniavyo jkt inakufunza kujitegemea haipo kwa kuajir
 
Nilikuwa namweleza huyo kijana aliyeulizia nafasi hizi.
Mimi JKT nimeshapita miaka kadhaa nyuma na sasa niko katika ajira.
Namwambia ajiamini na awe jasiri kwani usipojiamini mtu ni ngumu kufanikiwa either utategemea kushikwa mkono au kutoa pesa.Mimi binafsi siamini katika kushikwa mkono au rushwa. Hivi why vijana wenzangu tunaishi katika nchi yetu kwa kutojiamini?
Nazungumza Kutokana na Expirence ya Kufanya Interview hizo unaweza Kujiamini mpaka ukaingia kifua Wazi ukatoka kapa

Mfano mwaka Jana interview pale Iringa Mjini walikua wanataka

Darasa la Saba 2
Form Four 16,
Form Six 12 wanaume 9 wasichana 3
Degree 8 wanawake 2 wanaume 6

Degree wapo 80 Form six kulikua kuna upungufu wa watu Form four na Darasa la 7 wengi sanaaaa

Katika Usaili Tuliingia mafungu ya watu 20
Tukapanga Mstari swali la Kwanza kuulizwa lilikua Uzalendo Ni nini? Hilo kila mtu alitakiwa kulijibu na lilikua Rahisi sana

Maswali yanofuata Ile panel inakua na Majina linaulizwa swali halafu mwenzio anatajwa jina kutoka kwenye Panel anaimbiwa ajibu Swali jingine linasomwa , then linasomwa jina la Kujibu eeenhh!

Jina ambalo lilisomwa hata Mara 3 pamoja na Mkuu wa wilaya kuna jamaa mmoja alikua anaitwa Mwakyembe na alipita alikua ana degree ya Education. (kwa waliopiga Usaili ule watakua wanakumbuka).

Mimi ni Miongoni mwa watu ambao tulitoka bila Kujibu maswali. Siyo kwamba hatuji hapana sikuweza kusomwa Tukaambiwa wote tusubirie nje.

Tulikua tumekaa chini Uchovu, Usingizi na Baridi mjini Iringa ndipo Majira ya Saa 5 Kama na dakika 47 Usiku ndipo Majina yalisomwa hata Simo! Nilirudi Dar es salaam Machozi yananitoka sana. Ile asubuhi nilipanda Bajaji jamaa alijua nimetoka Mkwawa university akananiuliza vipi Umefiwa? Nikasema hapana nililia njia nzima hadi nafika Ubungo Kiboko cha Pua Kinauma sana.

Watu 8 wa Degree kwa Hali iliyopo hao waliopitishwa kindugu wote wana vigezo kama vyangu au yeyote.

Panel ilikua na
-Mkuu wa wilaya hakosi watu
-Mkuu wa Magereza hakosi watu
-Mshauri wa Mambo huyu huwa ni (JWTZ) hakosi watu
-Usalama wa Taifa hakosi watu
-Afisa Uhamiaji hakosi watu
-Askari wa wawili wa (JWTZ) mmoja Jezi yake ilikua Imeandikwa Kibasa huyu jamaa ana vituko Sana Na Katika majina ya Kidato cha nne alipita Mtu mwenye jina la Kibasa wakiwa wanafanana kabisa majina mawili ya mwishoni.

Wengine walikua wakipiga Stori kuwa huenda afande Fulani akaja au anaweza Kuja Fulani kutufanyia Usaili.

Mkuu kama Uliingia Enzi za Zamani wakati hakuna Ushindani au Kigezo kilikua ni Kujiamini Hongera sana Sasa hivi Hali imekaza Degree za Education, Udaktari, Engineering Sijataja Sijui Sociology zipo nyingi mtaani.

Hali ya ajira ni Ngumu kwa sasa Nina miaka 27 bado Nina nafasi but nashauri uwe na Connection Siku Hizi Kila Mtu ana Cheti kasoro Daudi Albert Bashite (Makonda).
 
asitegemee maana wa mwaka jana bado hawajamaliza mafunzo labda mwez wa 12 lakini jkt haipo kama azaniavyo jkt inakufunza kujitegemea haipo kwa kuajir
JKT ndiyo Hub ya ajira za

-Usalama wa Taifa
-JKT yenyewe
-JWTZ
-Uhamiaji
-Polisi
-Magereza
-Walinzi wa Bandari
-Askari wa Migodini

Bila kupita JKT hivyo vyombo utavisikia tuu JKT ni Ajira.
 
ndy skatai ila kasome tangazo.la jkt utaerewa.ni kujitorea na kama hujui.bila jkt huko uliko sema unaweza kwenda jkt in
JKT ndiyo Hub ya ajira za

-Usalama wa Taifa
-JKT yenyewe
-JWTZ
-Uhamiaji
-Polisi
-Magereza
-Walinzi wa Bandari
-Askari wa Migodini

Bila kupita JKT hivyo vyombo utavisikia tuu JKT ni Ajira.
jkt ajira ni kama itakuwepo but dhumun la jkt ni kumfunza kijna ajitegemee syo ajira ndy maana huruhusiw kudai ajira
 
jkt haitoi ajiraaa isipokua taasisi zinazo shirikiana nayo kama jwtz, magerzaa, polisi, immigration, tanapa, bandari n. k... ndizo zinatoa ajira kwa kuwafataa vijana wahitimu wa mafunzo katika makambi yao....... lengo la jkt ni kukufunza u
kua mzalendo na kujitegemea.....

waezaa ingia kwa website yao
 
jkt haipo kwa ajira kaa ukikua jkt inatoa mafunzo ya ww kujitegemea ajira kama ikiwepo ndy maana tangazo linasema kujitolea ndy maana usipo pewa kazi hutakiw kudai ivyo kama kuna kazi ya kufanya ww fanya tuu wenzio tunajuta nipo jkt ktambo mm.ni OP uchaguzi mpala leo hakijaeleweka.ndugu fanya mambo mengine yakusaidie
Op ya mwaka gani hiyo bro
 
Nazungumza Kutokana na Expirence ya Kufanya Interview hizo unaweza Kujiamini mpaka ukaingia kifua Wazi ukatoka kapa

Mfano mwaka Jana interview pale Iringa Mjini walikua wanataka

Darasa la Saba 2
Form Four 16,
Form Six 12 wanaume 9 wasichana 3
Degree 8 wanawake 2 wanaume 6

Degree wapo 80 Form six kulikua kuna upungufu wa watu Form four na Darasa la 7 wengi sanaaaa

Katika Usaili Tuliingia mafungu ya watu 20
Tukapanga Mstari swali la Kwanza kuulizwa lilikua Uzalendo Ni nini? Hilo kila mtu alitakiwa kulijibu na lilikua Rahisi sana

Maswali yanofuata Ile panel inakua na Majina linaulizwa swali halafu mwenzio anatajwa jina kutoka kwenye Panel anaimbiwa ajibu Swali jingine linasomwa , then linasomwa jina la Kujibu eeenhh!

Jina ambalo lilisomwa hata Mara 3 pamoja na Mkuu wa wilaya kuna jamaa mmoja alikua anaitwa Mwakyembe na alipita alikua ana degree ya Education. (kwa waliopiga Usaili ule watakua wanakumbuka).

Mimi ni Miongoni mwa watu ambao tulitoka bila Kujibu maswali. Siyo kwamba hatuji hapana sikuweza kusomwa Tukaambiwa wote tusubirie nje.

Tulikua tumekaa chini Uchovu, Usingizi na Baridi mjini Iringa ndipo Majira ya Saa 5 Kama na dakika 47 Usiku ndipo Majina yalisomwa hata Simo! Nilirudi Dar es salaam Machozi yananitoka sana. Ile asubuhi nilipanda Bajaji jamaa alijua nimetoka Mkwawa university akananiuliza vipi Umefiwa? Nikasema hapana nililia njia nzima hadi nafika Ubungo Kiboko cha Pua Kinauma sana.

Watu 8 wa Degree kwa Hali iliyopo hao waliopitishwa kindugu wote wana vigezo kama vyangu au yeyote.

Panel ilikua na
-Mkuu wa wilaya hakosi watu
-Mkuu wa Magereza hakosi watu
-Mshauri wa Mambo huyu huwa ni (JWTZ) hakosi watu
-Usalama wa Taifa hakosi watu
-Afisa Uhamiaji hakosi watu
-Askari wa wawili wa (JWTZ) mmoja Jezi yake ilikua Imeandikwa Kibasa huyu jamaa ana vituko Sana Na Katika majina ya Kidato cha nne alipita Mtu mwenye jina la Kibasa wakiwa wanafanana kabisa majina mawili ya mwishoni.

Wengine walikua wakipiga Stori kuwa huenda afande Fulani akaja au anaweza Kuja Fulani kutufanyia Usaili.

Mkuu kama Uliingia Enzi za Zamani wakati hakuna Ushindani au Kigezo kilikua ni Kujiamini Hongera sana Sasa hivi Hali imekaza Degree za Education, Udaktari, Engineering Sijataja Sijui Sociology zipo nyingi mtaani.

Hali ya ajira ni Ngumu kwa sasa Nina miaka 27 bado Nina nafasi but nashauri uwe na Connection Siku Hizi Kila Mtu ana Cheti kasoro Daudi Albert Bashite (Makonda).
Uliachwa kwa sababu wewe ni wa daslam, kwanini uje kuchukua nafasi za wana Iringa??

Pole sana kijana,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom