Msaada: Nataka kufanya biashara Kariakoo (jumla), sijui pa kuanzia

Armani William

JF-Expert Member
Jul 3, 2014
248
734
Wakuu habari!

Kwa muda mrefu nimekuwa nikifikiria na kutamani kuingia kariakoo na kufanya biashara ya viatu, shida sijui wapi pakuanzia. Wenye uzoefu naombeni ushauri.

Ahsante
 
cha kufanya umeshajisajili biashara yako brela na unayo TIN NO. pamoja na leseni ?

basi anza kwenda kuangalia fremu kariakoo uanze biashara yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…