Msaada: Nataka kubadilsha jina

Sixv2

Senior Member
Joined
Mar 4, 2014
Posts
170
Reaction score
98
Nataka kubadilsha jina, naomben msaada kwa anayefahamu!!!
 
JIna lipi unataka kubadili toA maelezo ya kutosha
 
jina kivip hapa jamiiforum au katika vyeti vyako dadavua vizur
 
unapoomba msaada zingatia:
1.kuwa muwazi
2.kutoa maelezo ya kutosha
ASANTE
 
Wakuu samahani sana nataka kubadilisha jina humu jamii forum sababu hili ni jina langu halisi hivyo nasumbuliwa sana wakuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…