Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,712
- 1,662
Asante mkuu[emoji120]deedpoll ni nini?kwa utaratibu uliokuwepo muda kidogo, kwanza andaa deedpoll kisha nenda ukaisajili kwa ofisi ya msasjili wa ardhi mkoa, kisha kaitangaze hiyo deedpoll yako kwenye gazeti la serikali. mwisho pata nakala ya gazeti la serikali, nakala ya deedpoll yako, viatambanisho vyako hasa vyenye uthibitisho wa jina unalotaka, kisha nenda ofisi ya NIDA wilaya uliyopo karbu nayo utapewa control number ya Tsh 20000/=
angalizo, kabla ya kufanya hayo jarbu kufika ofisi ya NIDA ili ueleweshwe kama una maswali zaidi au kama kuna mabadiliko ya muongozo watakupa, watu hao wako poa sana, watakupa elimu ya kutosha juu ya changamoto yako
kwa utaratibu uliokuwepo muda kidogo, kwanza andaa deedpoll kisha nenda ukaisajili kwa ofisi ya msasjili wa ardhi mkoa, kisha kaitangaze hiyo deedpoll yako kwenye gazeti la serikali.
Mwisho pata nakala ya gazeti la serikali, nakala ya deedpoll yako, viatambanisho vyako hasa vyenye uthibitisho wa jina unalotaka, kisha nenda ofisi ya NIDA wilaya uliyopo karbu nayo utapewa control number ya Tsh 20000/=
angalizo, kabla ya kufanya hayo jarbu kufika ofisi ya NIDA ili ueleweshwe kama una maswali zaidi au kama kuna mabadiliko ya muongozo watakupa, watu hao wako poa sana, watakupa elimu ya kutosha juu ya changamoto yako
Huyo Sheikh aliyekubasilimisha mtumie huyohuyo kwa hayo mambo mengineHabari za muda huu wakuu,
Mimi ni Mkristo, nimeamua kubadili dini kuwa muislam kwa hiari yangu kabisa bila msukumo wowote.
Nimebadili jina langu la awali hivyo ningependa kubadili pia katika nyaraka zangu za kiserikali ikiwemo kitambulisho cha taifa (NIDA).
Je, ni utaratibu gani nifuate ili kuweza kubadili jina langu la awali na kupachika jina jipya ambalo litatambulika kisheria mpaka kwenye NIDA? Msaada wenu jamani naomba mnipe mbinu[emoji120]
Sawa[emoji120]Huyo Sheikh aliyekubasilimisha mtumie huyohuyo kwa hayo mambo mengine
We pimbi hujui kituMasuala ya ardhi ni title deed acha kumpotosha.
Masuala ya ardhi ni title deed acha kumpotosha.
We pimbi hujui kitu
Ww ndo unataka kupotosha .... ushauri wangu ni hiari tuu kama unaona haufai fuata wakoMasuala ya ardhi ni title deed acha kumpotosha.
Waafrika tunahangaika sana na vitu vya ajabu ajabu alafu vya msingi tunatupa kule.Waafrika sijui tuna shida gani , nani kakuambia kuna majina ya wakristo na waislam? Kwa taarifa yako kuna majina ya kiarabu , kifini, kijerumani, etc. Dini hazina uhusiano na majina Kabisaa ni ujinga tuliomezeshwa.
Dini hupumbaza sana watu mfano ndio huo unauona.Waafrika sijui tuna shida gani , nani kakuambia kuna majina ya wakristo na waislam? Kwa taarifa yako kuna majina ya kiarabu , kifini, kijerumani, etc. Dini hazina uhusiano na majina Kabisaa ni ujinga tuliomezeshwa.
Inaitwa deedpoll kaeleza kwa usahihi kabisa we ndio haujui.....tulia basi.Wewe kenge unayejua si umwage madini hapa sio kuropoka hovyo.
Tuliza kinyeo hicho mbwa wewweDini hupumbaza sana watu mfano ndio huo unauona.
Dini zimefanya watu wajinga kua wapumbavu na mataahira kabisa.
Mungu wa kwenye biblia ama quran hayupo na dini ni utapeli kama utapeli