Kozi gani unahitajiWapendwa napenda kupata msaada toka kwenu. Nahitaji chuo cha Afya kwa Dar es Salaam hata Tanga pia inapendeza.
Tena hususani nikipata na fees structure nitashukuru zaidi
Njoo pmcommunity health
nimesoma ICT ila ni kwa shinikizo la wazee ila mimi kiukweli napenda Afya sasa na ufaulu wangu ni wamwaka uliokuwa mgumu zaidi 2012 ila nilipambana na kuibuka na 4 ya 27Kozi gani unahitaji
au pitia hapa
community health na education kwa mwaka huu,nacte wamesema hawadahili,ila courses zingne.community health
F ,ya physics huwezi kusoma afya soma kozi ya community healthnimesoma ICT ila ni kwa shinikizo la wazee ila mimi kiukweli napenda Afya sasa na ufaulu wangu ni wamwaka uliokuwa mgumu zaidi 2012 ila nilipambana na kuibuka na 4 ya 27
ni
Biology - C
Chemistry - D
Kiswahili - D
Geography - D
English - D
History - D
Civics - D
Math - F
Physics -F
kulingana na ufaulu huo Kwa sasa naweza soma course ipi ya afya
Ajiandae kwenda jelaPhy-F, maths-F, chem-D. Kozi ya afya? Huwezi kupata
Njoo usome Iringa chuo kinaitwa PHCIcommunity health