Msaada: Natafuta soko la kuku aina ya Kuroiler

Msaada: Natafuta soko la kuku aina ya Kuroiler

Iniho

Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
97
Reaction score
68
Hello wapenzi wa Jamii Forum,

Mimi ni mfugaji nafuga kuku aina ya kuroiler wale chotara wana asili ya India wako kama kienyeji hivi

Natafuta soko la kuku hawa je mnaweza mkanipa ushauri kidogo wa masoko je wapi naweza kupata masoko kwa urahc.msaada jamani.

Nafugia Kibaha kwa mathias hata kwa Dar es salaam inakuwa rahc pia kufika nikipata soko zuri.

Ahsanteni.
 
Write your reply...unawangapi? upo wapi? je ni majogoa au mitetea ? na ni bei gani?
 
Write your reply...unawangapi? upo wapi? je ni majogoa au mitetea ? na ni bei gani?
hawa ni mchanganyiko mkuu kuna mitetea na majogoo ndani yake wana brid zote mbili.Bei yake ni 15,OOO tu.ninao 500
 
gys mambo vp kama kuna mtu yupo singida na anakuku wa kienyeji pyua na wanauzito unaotakiwa sokoni nambaangu hii apa mwisho anicheck au hata anitext tufanye biznes.0718474356
 
Uzito unao takiwa sikoni ni up? Bei yako? Una uwezo wa kuchukua KUKU wangapi kwa siku?
 
Back
Top Bottom