Wanajamvi natafuta shamba la kulima maeneo ya mto luvu ambako naweza kulima kandokando ya mto mfano wa kilimo cha umwagiliaji. Kama unalo au unaweza kunisaidia kupata naomba sana.
Mdau naomba uelewe somo mm nimetoa namba kutaka msaada wa shamba la kununua sasa hapo nitamtapeli nani? Kama mm ndio mnunuaji mwenyewe....kama huna au humfahamu mtu kaa kimya kuliko kupost vitu vya ajabu kwa kukosa hekima