Msaada; Natafuta perfume yenye harufu nzuri

laki 2.5 perfume tu, huu si mtaji wa mtu mwenye akiri timamu kabisa[emoji16][emoji16]ama huko kwenu south mambo yapo good, bongo watu tuna njaa yaan, perfume ya elf10 hapo mtu kajitahd sana!
Kunukia gharama
 

Attachments

  • IMG_20190808_182527.jpg
    81.9 KB · Views: 45
Hizo za kupima huwa zinadumu kwa muda gani baada ya kupulizia?
Mimi naona nikitoka nyumbani asubuhi mpaka ninavyorudi jioni. Na harufu unakuta inabaki bado kwenye nguo. Sema ile strong scent inapungua sio kama ulivyotoka asubuhi. Nenda kanunue za kupima hutajutia. Tafuta kabrand ambacho kimesifiwa sana afu kanunue ya kupima yake. You'll smell kiboss boss mpaka ufurahi
 
mkuu 18k,hiyo K ndio nn [emoji85][emoji85][emoji85]
 
Black opium nitaenda kuitafuta full stop
Thank you beauty.
 
Kama ni mwanamke nakushauri Dolice&Gabbana blue intense .Kama mwanaume basi Blue de Chanel.
Weka bei Mkuu maana nataka nipime na bei ya silver ile ya kupaka mwenye nguo mpaka mafua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mi nikipiga zangu galaxy SIII ya buku nne nikibembeleza buku 3 hoii, nikirudi zangu jioni harufu ya kwapa haielewek na ya perfume haijulikani, ni neutralization of gasses
 
Mama watoto aliwahi kuninunulia perfume moja inaitwa Tom Ford Black Orchid inauzwa kama $150 hivi kwenye duty free. Bahati mbaya the next month akapata ujauzito halafu akawa hapendi harufu yake. Nilitamani kuigawa asee
 
Daah hiyo D&G blue ni balaa, mwanamke akiipaka utamtamani vibaya sana.
Yaani hii ndo naitumia,lazima uambiwe unanukia vizuri. Unaulizwa umejipulizia aina gani ya perfume.
 
Bajeti yako ni kiasi gani??

Maana watu wanaweza kukushauri Creed Aventus (bei ni 600K+) huku wewe una 5K(Buku tano)
Mie pia nilitaka kumshauri anunue Creed ile makitu ilinipaga demu kwenye boat ya Azam
 
Hii haina mpinzani.
Blue de Chanel bei inasimama ngap mkuu nijitose ? Maisha ni haya haya bhana , watu wanataman tunukie tukiwa kaburini , mariamu alimpaka Yesu perfume ya bei mbaya kuliko zote na Yesu akafurahia harufu
 
Blue de Chanel bei inasimama ngap mkuu nijitose ? Maisha ni haya haya bhana , watu wanataman tunukie tukiwa kaburini , mariamu alimpaka Yesu perfume ya bei mbaya kuliko zote na Yesu akafurahia harufu
133 mpaka 140 euros.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…