Msaada: Natafuta nyumba ya kupanga

Msaada: Natafuta nyumba ya kupanga

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,946
Reaction score
38,657
Maeneo ya Masaki, Mbezi, Kijitonyama au Mikocheni.

Tafadhali nitafute kupitia namba 0784 583389 au 0655 583389
 
mkuu unajishughurisha na sanaa gani?
 
Weka dau lako? na features unazozitaka kutokana na maeneo uliyotaja
 
Ngoja nijipigie pande. . .

Chumba na sebule, kama kuna kajiko ntafurahi zaidi, choo cha ndani , maji ya uhakika, umeme na geti. Kwenye maeneo yake ongeza Kinondoni, makumbusho na Msasani.

Kodi 150 000.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom