Msaada: Natafuta nyumba iliyojificha


Mkuu, njoo Kigamboni uchukue nyumba kwenye executive residential area kwa laki 5 na laki 4.5, hutaamini.
 
ila biashara ya massage nackia haiko vizuri asa hv kutokana na ukata
 
Kwanini tunakuwa watu wa aina hii, mtu katangaza anataka nyumba na bei atayolipa katoa na biashara anayo taka kufanya kasema , kama unayo mkodishe au unajua ilipo mwelekeze, sasa matusi na maneno mengi ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…